Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 62. Je! ni sababu gani za kuamrisha amri ya nne?

J. Sababu za kuamrisha amri ya nne, ni: kwamba Mungu ametupa siku sita za juma kwa ajili ya shughuli zetu wenyewe; amejihifadhia mwenyewe umiliki maalum juu ya siku ya saba; ameibariki siku ya kupumzika, na mwishowe mfano wake mwenyewe.
  • Kutoka 20:9.
  • Kutoka 31:15.
  • Walawi 23:3.
  • Mwanzo 2:2-3.
  • Kutoka 20:11; .
  • Kutoka 31:17.