Inapakia

Swali Imani katika Yesu Kristo ni nini? la Katekisimo Ndogo ya Westminster

Swali Imani katika Yesu Kristo ni nini? la Katekisimo Ndogo ya Westminster - jibu pamoja na marejeo ya Biblia
Sw. 86. Imani katika Yesu Kristo ni nini?
J. Imani katika Yesu Kristo ni neema iokoayo ambayo kwa hiyo tunampokea Kristo kama anavyotolewa kwetu katika Injili, na kumtumaini yeye pekee kwa ajili ya wokovu.
  • Waefeso 2:8,9.
  • Warumi 4:16.
  • Yohana 20:30-31.
  • Wagalatia 2:15-16.
  • Wafilipi 3:3-11.