Sw. 88. Je! ni njia gani za nje na za kawaida ambazo kwa njia yake Kristo anawasilisha kwetu faida za ukombozi?
J. Njia za nje na za kawaida ambazo kwa njia yake Kristo anawasilisha kwetu faida za ukombozi, ni maagizo yake, na hasa, neno, sakramenti na sala; ambayo yote anayafanya yawe na ufanisi kwa wokovu wa wateule.
- Mathayo 28:18-20.
- Matendo 2:41-42.