Inapakia

Njia za Neema na Ibada

Sw. 99. Mungu ametoa kanuni gani ya kutuongoza katika sala?

J. Neno lote la Mungu ni muhimu kwa kutuongoza katika sala; lakini kanuni maalum ni ile sala ambayo Kristo aliwafundisha wanafunzi wake na ambayo kwa kawaida huitwa "Sala ya Bwana".
  • 1 Yohana 5:14.
  • Mathayo 6:9-13.