Sw. 97. Ni nini kinahitajika kupokea staha Meza ya Bwana?
J. Ili washiriki wapokee staha Meza ya Bwana, ni muhimu wafanye uchunguzi wa ujuzi wao wa kutambua mwili wa Bwana; wa imani yao kujilisha naye; wa toba yao, upendo wao na utii mpya, ili wasije, wakipokea sakramenti kwa njia isiyo staha, wakala na kunywa hukumu yao wenyewe.
- 1 Wakorintho 11:27-32.