Inapakia

Njia za Neema na Ibada

Sw. 91. Sakramenti zinakuaje njia zenye ufanisi za wokovu?

J. Sakramenti zinakuwa njia zenye ufanisi za wokovu, si kwa sababu kuna wema wowote ndani yake, au ndani ya yeye anayezisimamia; bali tu kwa baraka ya Kristo, na kazi ya Roho wake ndani ya wale wanaozipokea kwa imani.
  • 1 Wakorintho 3:7.
  • 1 Wakorintho 1:12-17.