Inapakia

Swali Tunaomba nini katika ombi la kwanza? la Katekisimo Ndogo ya Westminster

Swali Tunaomba nini katika ombi la kwanza? la Katekisimo Ndogo ya Westminster - jibu pamoja na marejeo ya Biblia
Sw. 101. Tunaomba nini katika ombi la kwanza?
J. Katika ombi la kwanza, linalosema: "Jina lako litukuzwe", tunaomba kwamba Mungu atusaidie sisi na watu wengine kumtukuza katika yote anayojulikana kwayo, na pia kwamba yeye apange vitu vyote kwa ajili ya utukufu wake mwenyewe.
  • Zaburi 67:1-3.
  • Zaburi 99:3.
  • Zaburi 100:3,4.
  • Warumi 11:33-36.
  • Ufunuo 4:11.