Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 31. Agano la neema lilifanywa na nani?

J. Agano la neema lilifanywa na Kristo kama Adamu wa pili, na ndani yake na wateule wote kama mbegu yake.
  • Wagalatia 3:16.
  • Warumi 5:15-21.
  • Isaya 53:10,11.