Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 33. Je! agano la neema lilitekelezwa daima kwa namna moja?

J. Agano la neema halikutekelezwa kila mara kwa namna moja, bali usimamizi wake chini ya Agano la Kale ulikuwa tofauti na ule chini ya Agano Jipya.
  • 2 Wakorintho 3:6-9.