Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 17. Anguko liliweka mwanadamu katika hali gani?

J. <p>Anguko lilimleta mwanadamu katika hali ya dhambi na taabu.</p>
  • Mwanzo 3:16-19,23.
  • Warumi 3:16.
  • Warumi 5:12.
  • Waefeso 2:1.