Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 28. Je! kutukuzwa kwa Kristo kunajumuisha nini?
J. Kutukuzwa kwa Kristo kunajumuisha kufufuka kwake kutoka kwa wafu siku ya tatu, kupaa kwake mbinguni, kuketi kwake mkono wa kuume wa Mungu Baba, na kuja kwake siku ya mwisho kuhukumu ulimwengu.
- 1 Wakorintho 15:4.
- Zaburi 68:18.
- Matendo 1:11.
- Waefeso 4:8.
- Zaburi 110:1.
- Matendo 2:33-34.
- Waebrania 1:3.
- Mathayo 16:27.
- Matendo 17:31.