Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 27. Je! kujinyenyekesha kwa Kristo kulijumuisha nini?
J. Kujinyenyekesha kwa Kristo kulijumuisha kuzaliwa kwake, na hilo katika hali ya chini, chini ya sheria, kuvumilia taabu za maisha haya, hasira ya Mungu na kifo cha laana ya Msalaba; kuzikwa kwake na kubaki chini ya uweza wa kifo kwa muda.
- Luka 2:7.
- 2 Wakorintho 8:9.
- Wagalatia 4:4.
- Isaya 53:3.
- Luka 9:58.
- Yohana 4:6.
- Yohana 11:35.
- Waebrania 2:18.
- Zaburi 22:1.
- Mathayo 27:46.
- Isaya 53:10.
- 1 Yohana 2:2.
- Wagalatia 3:13.
- Wafilipi 2:8.
- Mathayo 12:40.
- 1 Wakorintho 15:3-4.