Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 26. Je! Kristo hutimizaje wadhifa wa Mfalme?
J. Kristo hutimiza wadhifa wa Mfalme, kwa kutuweka chini yake mwenyewe, kwa kutuongoza na kutulinda, na kwa kuwazuia na kuwashinda maadui zake wote na wetu.
- Zaburi 110:3.
- Mathayo 28:18-20.
- Yohana 17:2.
- Wakolosai 1:13.
- Zaburi 2:6-9; .
- Zaburi 110:1-2.
- Mathayo 12:28.
- 1 Wakorintho 15:24-26.
- Wakolosai 2:15.