Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 25. Je! Kristo hutimizaje wadhifa wa Kuhani?

J. Kristo hutimiza wadhifa wa Kuhani kwa kujitoa mwenyewe mara moja tu kuwa dhabihu ili kuridhisha haki ya Mungu na kutupatanisha na Mungu, na kwa kutuombea daima.
  • Isaya 53.
  • Matendo 8:32-35.
  • Waebrania 9:26-28.
  • Waebrania 10:12.
  • Warumi 5:10-11.
  • 2 Wakorintho 5:18.
  • Wakolosai 1:21-22.
  • Warumi 8:34.
  • Waebrania 7:25.
  • Waebrania 9:24.