Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 24. Je! Kristo hutimizaje wadhifa wa Nabii?

J. Kristo hutimiza wadhifa wa Nabii kwa kutufunulia, kwa Neno lake na Roho wake, mapenzi ya Mungu kwa ajili ya wokovu wetu.
  • Luka 4:18-19,21.
  • Matendo 1:1-2.
  • Waebrania 2:3.
  • Yohana 15:26-1:8.
  • Matendo 1:28.
  • 1 Petro 1:11.
  • Yohana 4:41-42; .
  • Yohana 20:30-31.