Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 23. Nyadhifa gani anazotimiza Kristo kama Mkombozi wetu?

J. Kristo, kama Mkombozi wetu, hutimiza nyadhifa za Nabii, za Kuhani na za Mfalme, katika hali yake ya unyenyekevu na pia katika hali yake ya kutukuzwa.
  • Kumbukumbu la Torati 18:18.
  • Matendo 2:33.
  • Matendo 3:22-23.
  • Waebrania 1:1-2.
  • Waebrania 4:14-15.
  • Waebrania 5:5-6.
  • Isaya 9:6-7.
  • Luka 1:32-33.
  • Yohana 18:37.
  • 1 Wakorintho 15:25.