Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 34. Kufanywa watoto ni nini?

J. Kufanywa watoto ni tendo la neema ya bure ya Mungu, ambalo kwa hilo tunapokelewa katika idadi ya watoto wa Mungu, na kupewa haki ya kushiriki fadhila zote za watoto wake.
  • 1 Yohana 3:1.
  • Yohana 1:12.
  • Warumi 8:17.