Inapakia

Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo

Sw. 12. Mungu alifanya nini wakati aliwaumba wanadamu wa kwanza?

J. Mungu, alipowaumba wanadamu, aliingia agano la maisha pamoja nao, kwa sharti la utii kamili, akikataza kula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya chini ya adhabu ya kifo.
  • Mwanzo 2:16.
  • Yakobo 2:10.