Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 13. Baba zetu wa kwanza walidumu katika hali waliyoumbwa?

J. Baba zetu wa kwanza, wakiwa wameachwa kwa uhuru wa mapenzi yao wenyewe, walianguka kutoka hali waliyoumbwa, kwa kutenda dhambi dhidi ya Mungu.
  • Mwanzo 3:6-8,13.
  • 2 Wakorintho 11:3.