Sw. 21. Je! Mkombozi wa wateule wa Mungu ni nani?
J. Mkombozi wa pekee wa wateule wa Mungu ni Bwana Yesu Kristo, ambaye akiwa Mwana wa milele wa Mungu, alijifanya mwanadamu; na hivyo alikuwa na anabaki milele, Mungu na mwanadamu katika asili mbili tofauti na nafsi moja.
- Yohana 14:6.
- Matendo 4:12.
- 1 Timotheo 2:5-6.
- Zaburi 2:7.
- Mathayo 3:17.
- Mathayo 17:5.
- Yohana 1:18.
- Isaya 9:6.
- Mathayo 1:23.
- Yohana 1:14.
- Wagalatia 4:4.
- Matendo 1:11.
- Waebrania 7:24-25.