Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 19. Taabu ya hali ambayo mwanadamu alianguka ndani yake ni ipi?
J. <p>Wanadamu wote, kwa anguko lao, walipoteza ushirika na Mungu, wako chini ya ghadhabu yake na laana yake, na hivyo wanastahili taabu zote za maisha haya, hata kifo chenyewe, na maumivu ya kuzimu milele.</p>
- Mwanzo 3:8,24.
- Yohana 8:34,42,44.
- Waefeso 2:12; .
- Waefeso 4:18.
- Yohana 3:36.
- Warumi 1:18.
- Waefeso 2:3.
- Waefeso 5:6.
- Wagalatia 3:10.
- Ufunuo 22:3.
- Mwanzo 3:16-19.
- Ayubu 5:7.
- Mhubiri 2:22-23.
- Warumi 8:18-23.
- Ezekieli 18:4.
- Warumi 5:12.
- Warumi 6:23.
- Mathayo 25:41,46.
- 2 Wathesalonike 1:9.
- Ufunuo 14:9-11.