Muhtasari wa Mafundisho ya Kikristo
Sw. 20. Je! Mungu aliwaacha wanadamu wote kuangamia katika hali yao ya dhambi na taabu?
J. Mungu, kwa mapenzi yake makuu ya enzi, aliwachagua tangu azali wale watakaofurahia uzima wa milele, akaingia agano la neema kuwakomboa kutoka hali yao ya dhambi na taabu, na kuwaingiza katika hali ya wokovu kwa njia ya Mkombozi.
- Matendo 13:48.
- Waefeso 1:4-5.
- 2 Wathesalonike 2:13-14.
- Mwanzo 3:15.
- Mwanzo 17:7.
- Kutoka 19:5,6.
- Yeremia 31:31-34.
- Mathayo 20:28.
- 1 Wakorintho 11:25.
- Waebrania 9:15.