Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 74. Amri ya nane inaamuru nini?

J. Amri ya nane inaamuru tujitahidi na kuendeleza kwa kila njia halali ustawi na wema wetu wenyewe na wa wengine.
  • Walawi 25:35.
  • Waefeso 4:28.
  • Wafilipi 2:4.