Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 75. Amri ya nane inakataza nini?

J. Amri ya nane inakataza yote yanayozuia au kuelekea kuzuia kwa namna isiyo ya haki ustawi na wema wetu au wa jirani yetu.
  • Mithali 28:19.
  • Waefeso 4:28.
  • 1 Wathesalonike 3:10.
  • 1 Timotheo 5:8.