Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 76. Amri ya tisa ni ipi?

J. Amri ya tisa ni: "Usimshuhudie jirani yako uongo".
  • Kutoka 20:16.
  • Kumbukumbu la Torati 5:20.