Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 65. Amri ya tano inakataza nini?

J. Amri ya tano inakataza kupuuza au kupunguza heshima au huduma inayomstahili kila mmoja katika nafasi au uhusiano anaochukua.
  • Mathayo 15:4-6.
  • Warumi 13:8.