Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 66. Sababu ya kuamrisha amri ya tano ni ipi?

J. Sababu ya kuamrisha amri ya tano ni ahadi ya maisha marefu na ustawi, (kwa kadiri inavyofaa ustawi wa mwanadamu na utukufu wa Mungu), iliyotolewa kwa wote washikao amri hii.
  • Kutoka 20:12.
  • Kumbukumbu la Torati 5:16.
  • Waefeso 6:2-3.