Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 55. Amri ya tatu inakataza nini?

J. Amri ya tatu inakataza unajisi wote au matumizi mabaya ya kitu chochote ambacho Mungu anajifunua kwayo.
  • Walawi 19:12.
  • Mathayo 5:33-37.
  • Yakobo 5:12.