Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 54. Amri ya tatu inadai nini?

J. Amri ya tatu inadai kutumia kwa utakatifu na kwa staha majina, vyeo, sifa, maagizo, neno na kazi za Mungu.
  • Kumbukumbu la Torati 10:20.
  • Zaburi 29:2.
  • Mathayo 6:9.
  • 1 Mambo ya Nyakati 29:10-13.
  • Ufunuo 15:3-4.
  • Matendo 2:42.
  • 1 Wakorintho 11:27-28.
  • Zaburi 138:2.
  • Ufunuo 22:18-19.
  • Zaburi 107:21-22.
  • Ufunuo 4:11.