Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 53. Amri ya tatu ni ipi?

J. Amri ya tatu ni: "Usilitaje jina la Bwana, Mungu wako, bure; kwa maana Bwana hatamwona yeye asiye na hatia atakayelitaja bure jina lake".
  • Kutoka 20:7.
  • Kumbukumbu la Torati 5:11.