Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo
Sw. 48. Je! maneno "mbele yangu" yaliomo katika amri ya kwanza yanatufundisha nini hasa?
J. Katika maneno haya, "mbele yangu", yaliomo katika amri ya kwanza, yanafundishwa kwamba Mungu, anayeona yote, anajua dhambi ya kumwabudu mungu mwingine yeyote na anakasirishwa nayo.
- Kumbukumbu la Torati 30:17-18.
- Zaburi 44:20-21.
- Ezekieli 8:12.