Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 47. Amri ya kwanza inakataza nini?

J. Amri ya kwanza inatukataza kumkana Mungu au kuacha kumwabudu na kumtukuza kama Mungu wa kweli na wetu; au kumpa kiumbe mwingine yeyote ibada na utukufu ambao ni wake pekee.
  • Zaburi 14:1.
  • Warumi 1:20-21.
  • Zaburi 81:10-11.
  • Ezekieli 8:16-18.
  • Warumi 1:25.