Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 46. Amri ya kwanza inaamuru nini?

J. Amri ya kwanza inatuamuru tumjue na kumkiri Mungu kama Mungu wetu wa pekee na wa kweli, na kwa hiyo, tumwabudu na kumtukuza.
  • 1 Mambo ya Nyakati 28:9.
  • Isaya 45:20-25.
  • Mathayo 4:10.