Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 45. Amri ya kwanza ni ipi?

J. Amri ya kwanza ni: "Usiwe na miungu mingine mbele yangu".
  • Kutoka 20:3.
  • Kumbukumbu la Torati 5:7.