Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 44. Utangulizi wa amri kumi unatufundisha nini?

J. Utangulizi wa amri kumi unatufundisha kwamba kwa kuwa Mungu ndiye Bwana na Mungu wetu na Mkombozi wetu, sisi kwa hiyo tunawajibika kushika amri zake zote.
  • Luka 1:74-75.
  • 1 Petro 1:14-19.