Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 43. Utangulizi wa amri kumi ni upi?

J. Utangulizi wa amri kumi ni: "Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa".
  • Kutoka 20:2.
  • Kumbukumbu la Torati 5:6.