Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 42. Muhtasari wa amri kumi ni upi?

J. Muhtasari wa amri kumi ni: Kumpenda Bwana Mungu wetu kwa moyo wetu wote, kwa nafsi zetu zote, kwa nguvu zetu zote na kwa akili zetu zote, na kumpenda jirani yetu kama sisi wenyewe.
  • Mathayo 22:37-40.