Inapakia

Muhtasari wa Majukumu ya Kikristo

Sw. 39. Ni nini wajibu ambao Mungu anamwekea mwanadamu?

J. Wajibu ambao Mungu anamwekea mwanadamu, ni utii kwa mapenzi yake yaliyofunuliwa.
  • Kumbukumbu la Torati 29:29.
  • Mika 6:8.
  • 1 Yohana 5:2-3.