Inapakia

Swali Je! makosa yote ya sheria yanauchafu sawa? la Katekisimo Ndogo ya Westminster

Swali Je! makosa yote ya sheria yanauchafu sawa? la Katekisimo Ndogo ya Westminster - jibu pamoja na marejeo ya Biblia
Sw. 83. Je! makosa yote ya sheria yanauchafu sawa?
J. Baadhi ya makosa kwa yenyewe, na kwa sababu ya mazingira yanayozidisha, ni ya kuchukiza zaidi kuliko mengine mbele za Mungu.
  • Ezekieli 8:6,13,15.
  • Mathayo 11:20-24.
  • Yohana 19:11.