Inapakia

Njia za Neema na Ibada

Sw. 82. Je! mtu yeyote anaweza kuzishika kamili amri za Mungu?

J. Hakuna mwanadamu tu, tangu anguko, anayeweza katika maisha haya kuzishika kamili amri za Mungu, bali kila siku huzivunja kwa mawazo, maneno na matendo.
  • Mwanzo 8:21.
  • Warumi 3:9,23.