Inapakia

Swali Tunaomba nini katika ombi la nne? la Katekisimo Ndogo ya Westminster

Swali Tunaomba nini katika ombi la nne? la Katekisimo Ndogo ya Westminster - jibu pamoja na marejeo ya Biblia
Sw. 104. Tunaomba nini katika ombi la nne?
J. Katika ombi la nne linalosema: "Tupe leo mkate wetu wa kila siku" tunamwomba Mungu, mtoaji wa vyote vizuri, atupe sehemu ya kutosha ya mambo ya kidunia, na kwa hiyo atujalie kufurahia baraka yake.
  • Mithali 30:8-9.
  • Mathayo 6:31-34.
  • Wafilipi 4:11,19.
  • 1 Timotheo 6:6-8.