VII - Kwa nini ilimpasa Mpatanishi kuwa Mungu kweli na mwanadamu kweli
TUNAKUBALI na kukiri, Efe. 1.3.4, 15, 6. Kwamba muungano huu wa ajabu kabisa kati ya Uungu na Ubinadamu wa Kristo Yesu, ulitokana na Amri ya milele na isiyobadilika ya Mungu, ambamo pia wokovu wetu unachipuka na kutegemea.