Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 8. Mungu anatekeleza amri zake kwa namna gani?

J. Mungu anatekeleza amri zake katika kazi za uumbaji na majaliwa.
  • Zaburi 148:8.
  • Isaya 40:26.
  • Danieli 4:35.
  • Matendo 4:24-28.
  • Ufunuo 4:11.