Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 29. Je! tunafanywaje washiriki wa ukombozi ulionunuliwa na Kristo?

J. Tunafanywa washiriki wa ukombozi ulionunuliwa na Kristo, kwa matumizi yenye ufanisi ya huo unaofanywa kwetu na Roho wake Mtakatifu.
  • Tito 3:4-7.