Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 11. Kazi za majaliwa ya Mungu ni zipi?

J. Kazi za majaliwa ya Mungu ni utunzaji wake mtakatifu, wenye hekima na uweza, na utawala juu ya viumbe vyake na matendo yao yote.
  • Zaburi 145:17.
  • Zaburi 104:24.
  • Waebrania 1:3.
  • Nehemia 9:6.
  • Waefeso 1:19-22.
  • Zaburi 36:6.
  • Mithali 16:33.
  • Mathayo 10:30.