Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 6. Mungu ana nafsi ngapi?

J. Kuna Nafsi tatu katika Uungu mmoja: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu; na hawa watatu ni Mungu mmoja, sawa katika kiini, sawa katika nguvu na utukufu.
  • Mathayo 3:16-17.
  • Mathayo 28:19.
  • 2 Wakorintho 13:14.
  • 1 Petro 1:2.
  • Zaburi 45:6.
  • Yohana 1:1.
  • Yohana 17:5.
  • Matendo 5:3-4.
  • Warumi 9:5.
  • Wakolosai 2:9.
  • Yuda 1:24,25.