Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 4. Mungu ni nini?

J. Mungu ni Roho, asiye na mipaka, wa milele na asiyebadilika katika uwezo wake, hekima yake, nguvu zake, utakatifu wake, wema wake, haki yake na ukweli wake.
  • Kumbukumbu la Torati 4:15-19.
  • Luka 24:39.
  • Yohana 1:18.
  • Yohana 4:24.
  • Matendo 17:29.
  • 1 Wafalme 8:27.
  • Zaburi 139:7-10.
  • Zaburi 145:3.
  • Yeremia 23:24.
  • Warumi 11:33-36.
  • Kumbukumbu la Torati 33:27.
  • Zaburi 90:2.
  • Zaburi 102:24-27.
  • Ufunuo 1:4,8.
  • Zaburi 33:11.
  • Malaki 3:6.
  • Waebrania 1:12.
  • Waebrania 6:17,18.
  • Waebrania 13:8.
  • Yakobo 1:17.
  • Kutoka 3:14.
  • Zaburi 115:2,3.
  • 1 Timotheo 1:17.
  • 1 Timotheo 6:15,16.
  • Zaburi 104:24.
  • Warumi 11:33,34.
  • Waebrania 4:13.
  • 1 Yohana 3:20.
  • Mwanzo 17:1.
  • Zaburi 62:11.
  • Yeremia 32:17.
  • Mathayo 19:26.
  • Ufunuo 1:8.
  • Waebrania 1:13.
  • 1 Petro 1:15,16.
  • 1 Yohana 3:3,5.
  • Ufunuo 15:4.
  • Mwanzo 18:25.
  • Kutoka 34:6,7.
  • Kumbukumbu la Torati 32:4.
  • Zaburi 96:13.
  • Warumi 3:5,26.
  • Zaburi 103:5.
  • Zaburi 107:8.
  • Mathayo 19:17.
  • Warumi 2:4.
  • Kutoka 34:6.
  • Kumbukumbu la Torati 32:4.
  • Zaburi 86:15.
  • Zaburi 117:2.
  • Waebrania 6:18.