Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 14. Dhambi ni nini?

J. Dhambi ni ukosefu wowote wa utii kwa sheria ya Mungu, au uvunjaji wake.
  • Walawi 5:17.
  • Yakobo 4:17.
  • 1 Yohana 3:4.