Sw. 33. Kuhesabiwa haki ni nini?
J. Kuhesabiwa haki ni tendo la neema ya bure ya Mungu, ambalo kwa hilo anasamehe dhambi zetu zote na kukubali kuwa wenye haki mbele zake; lakini hili tu kwa sababu ya haki ya Kristo, ambayo imehesabiwa kwetu, na tunayoipokea kwa imani tu.
- Warumi 3:24.
- Warumi 4:6-8; 2 Wakorintho 5:19.
- 2 Wakorintho 5:21.
- Warumi 4:6, 11; Warumi 5:19.
- Wagalatia 2:16.
- Wafilipi 3:9.