Ruka hadi kwenye maudhui
Inapakia

Sw. 3. Maandiko yanafundisha nini hasa?

J. Yale ambayo Maandiko yanafundisha hasa ni yale mwanadamu anayopaswa kuamini kumhusu Mungu na majukumu ambayo Mungu anamwekea mwanadamu.
  • Mwanzo 1:1.
  • Yohana 5:39.
  • Yohana 20:31.
  • Warumi 10:17.
  • 2 Timotheo 3:15.
  • Kumbukumbu la Torati 10:12,13.
  • Yoshua 1:8.
  • Zaburi 119:105.
  • Mika 6:8.
  • 2 Timotheo 3:16,17.